| On 2/23/2010 ma gidhaa za 1:02:42 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo mopi juu ya Yeye |
| ati we ni mang'aa hadi ile sku ulikua unazaliwa ulisema stoki na stoki uchi hadi nivalishwe nguo |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 2/23/2010 ma gidhaa za 1:02:02 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo mopi juu ya Yeye |
| ati we ni mang'aa hadi ile sku ulikua unazaliwa ulisema stoki na stoki uchi hadi nivalishwe nguo |
|
|
|
|
| On 2/23/2010 ma gidhaa za 1:01:23 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo mopi juu ya Yeye |
| ati we ni mang'aa hadi ile sku ulikua unazaliwa ulisema stoki na stoki uchi hadi nivalishwe nguo |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 2/23/2010 ma gidhaa za 6:47:03 AM hivi |
| Qqu wa Imara Daima huko sides za Emba alichongo mopi juu ya Hao yao |
| ni ya nyasi, wagondi wakikam wanawika "Fungua ama tulete ng'ombe" |
|
|
|
|
| On 1/28/2010 ma gidhaa za 5:38:09 AM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo punda juu ya Moti yao |
| nini wewe!!! kwenda huko!!! .. .mrenga yenu ni nze design nyi u funga punda ku i pull |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/28/2010 ma gidhaa za 4:11:05 AM hivi |
| punda wa Karen Shoppie huko sides za Karen alichongo Dunkie juu ya |
ndai yako ni nzee mpaka ikigonga bump unarrange viti
|
|
|
|
|
| On 1/23/2010 ma gidhaa za 11:44:24 AM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo Nyiks juu ya Yeye |
| ati we ni fala mgesi design uli enda kwa account yako ya facebook ati ku withdraw ganji!! :-) |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/23/2010 ma gidhaa za 11:43:26 AM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo ujo juu ya Yeye |
| ati we ni mpyenga mpaka kwako netbook ni Desktop? |
|
|
|
|
| On 1/22/2010 ma gidhaa za 6:13:04 AM hivi |
| mopi wa Buru 4 huko sides za Buru alichongo dame mmoja juu ya Kwao |
| kwenda! wee naskia home kwenyu kumekauka hadi ng'ombe yenu inakamuliagwa milk powder. |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/22/2010 ma gidhaa za 1:15:10 AM hivi |
| dame mmoja wa Belle huko sides za South C alichongo mopi juu ya Mongo yake |
| naskia ati una kichwa bigi watu wa NASA walikam kucheki kama ni planet |
|
|
|
|
| On 1/21/2010 ma gidhaa za 11:30:33 PM hivi |
| mopi wa Buru 4 huko sides za Buru alichongo Dunkie juu ya Macho zake |
| we ati macho zako ni red, design ukicheki dishi inavai. |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/21/2010 ma gidhaa za 10:07:48 AM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo grosso juu ya Hao yao |
| we! naskia ati jake yenu ni bwaku design ma IDP wa Mau wame hama huko? |
|
|
|
|
| On 1/21/2010 ma gidhaa za 10:06:05 AM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo mopi juu ya |
| kwenda huko!!! comp yako ni nze design windows yako WALKING on Windows 95" |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/21/2010 ma gidhaa za 7:31:41 AM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo mopi juu ya Wao |
| ishia!!! naskia ati nyi ni ma sonko design nyi uanika ma nguo kwa line ya Orange! :-) |
|
|
|
|
| On 1/21/2010 ma gidhaa za 12:11:13 AM hivi |
| mopi wa Buru 4 huko sides za Buru alichongo Dunkie juu ya Yeye |
| ati ulimi yako ni reefuu..hadi uki sneeze inalia kaa nyahunyo. |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/7/2010 5 ma gidhaa za 5:53:03 PM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo grosso juu ya |
| kwenda huko!!! una payuka na wesewe laptop yako ni nzee design facebook account yako ina "dog ears" |
|
|
|
|
| On 1/5/2010 1 ma gidhaa za 10:45:07 AM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo Nyiks juu ya Yeye |
| ati wesewe ni mnono hadi watu kwenyu walikuchora line kwa mgongo ndo wajue ka unatembea ama una roll |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/5/2010 1 ma gidhaa za 10:39:20 AM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo omosh papa juu ya Yeye |
| ati wewe ni mzee ulijua dead sea ikiwa mgonjwa |
|
|
|
|
| On 1/5/2010 7 ma gidhaa za 7:21:46 AM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo Benja juu ya Dem yake |
| ati dem yako ni mblak design tatoo yake alichorwa na chalk |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 1/3/2010 1 ma gidhaa za 12:20:28 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo Ras juu ya Dem yake |
| ati dem yako ni mdogo hadi akiwekwa kw kaburi ana space ya mpango wa kando |
|
|
|
|