| On 8/24/2010 ma gidhaa za 11:35:05 PM hivi |
| royal fineness wa LA High huko sides za LA alichongo grosso juu ya Kwao |
| Kwa hao yenu mko wengi mpaka wengine wenyu huhangiwa kama wallhangings ndiyo aleast mtoshee |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 8/13/2010 ma gidhaa za 12:05:28 PM hivi |
| mansix wa Easich huko sides za Eastlando alichongo grosso juu ya Dem yake |
| msupa wa kwako ni mchafu hadi akioga sabuni inaturn blue litmus paper orange |
|
|
|
|
| On 8/13/2010 ma gidhaa za 11:54:36 AM hivi |
| mansix wa Easich huko sides za Eastlando alichongo Dunkie juu ya Mongo yake |
| una mdihe bigi hadi ukigeuka kunakuwa na eclipse |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 8/10/2010 ma gidhaa za 1:03:21 PM hivi |
| Dunkie wa Buru 5 huko sides za Buru alichongo grosso juu ya Wagido yao |
| aaaggrrr!! kwenda huko!!! ati dogi yenu ina gwaya NEMA design yo u vibrate badala ya ku bark!! |
|
|
|
|
| On 8/9/2010 1 ma gidhaa za 1:51:44 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo njosh/njoro juu ya Dem yake |
| manzi yako ni mkonda mpaka makarao wakiwapata mkitembea usiku wanakuuliza hii ni silaha gani hii umebeba kijana |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 8/9/2010 1 ma gidhaa za 1:50:55 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo junia juu ya Kwao |
| Ati kwenu kuna insecurity hadi police station hufungwa saa kumi |
|
|
|
|
| On 8/9/2010 1 ma gidhaa za 1:47:11 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo Mwihax juu ya Kwao |
| kwenu kuna insecurity hadi nyinyi hulalisha gate kwa nyumba. |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 8/9/2010 1 ma gidhaa za 1:46:40 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo eddy juu ya Dem yake |
| manzi yako ni mkonda hadi aliingia box mara mbili.. |
|
|
|
|
| On 8/9/2010 1 ma gidhaa za 1:42:13 PM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo Dunkie juu ya Yeye |
| Ati we nimchoyo b4 ukule we humeza piriton ndo minyoo zilale |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 8/7/2010 8 ma gidhaa za 8:43:51 AM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo Bubba juu ya Dem yake |
| ati dem yako ni fala hadi BRA zake zinakuanga zimeandikwa weka matiti hapa |
|
|
|
|
|
|
| On 8/2/2010 1 ma gidhaa za 10:54:29 AM hivi |
| grosso wa Koma huko sides za Emba alichongo Nicko juu ya Yeye |
| ati wesewe ni fala hadi ulifail brest feeding |
|
|
|
|
| On 7/22/2010 ma gidhaa za 9:50:07 AM hivi |
| kelz wa Koma huko sides za Emba alichongo Nicko juu ya Dem yake |
| Ati manzi yako akona skin ngumu mpaka ukitaka kum dara,unatumia nyundo!! |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 7/10/2010 ma gidhaa za 2:16:41 PM hivi |
| Nicko wa Ngong 111 huko sides za Ngong town alichongo finje juu ya Yeye |
| ati umezoea ku ride bike hadi ukiingia kwa gari unakunja traoo |
|
|
|
|
|
|
| On 7/8/2010 7 ma gidhaa za 7:14:42 AM hivi |
| finje wa GG huko sides za Sao B alichongo Dunkie juu ya |
| ati mkono yako ni rough mpaka ukishika mouse laptop inasema "found new hardware" |
|
|
|
|
|
|
| On 6/26/2010 ma gidhaa za 8:43:01 AM hivi |
| luciancalvo wa Allsops huko sides za Thika Rd alichongo Nicko juu ya Dem yake |
| dem wako ni mugly hadi ulipoenda naye kwa stage konda alikushow 'buda tafadhali mzigo juu' |
|
|
|
|
| On 6/22/2010 ma gidhaa za 1:26:13 AM hivi |
| Nicko wa Ngong 111 huko sides za Ngong town alichongo Mwihax juu ya Kwao |
| ati mmesota hadi toilet paper zenu zinawika hivi...."conserve toilet paper, use both sides" |
| |
| Cheki chain ya ma mchongo |
|
|
|
|
| On 6/22/2010 ma gidhaa za 1:01:23 AM hivi |
| Nicko wa Ngong 111 huko sides za Ngong town alichongo grosso juu ya Yeye |
| nilicheki grosso akitoka posta ameshika barua anaishautia...nika muuliza anaduu? akawika ana send voicemail |
|
|
|
|